Tiny Blue Transistor Radio Kitambo sana...

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
14,660
11,677


Mwana Mama Connie Smith alipatwa na Mkasa wa Kuachwa na Mpenzi wake aliyeitwa Jimmy na aliamua kuimba wimbo kwa kusikitikia machungu yake...

Wimbo uliitwa Tiny blue transistor radio hizo Radio za miaka ya sitini huko zilikuwa model safi za rangi ya ubluu Miaka hiyo Radio ni zile za AM au Mawimbi ya Short wave,

0414f-then4-bd-40p.jpg


Bwana Jimmy Pendapenda alimnunulia Tiny Transistor Radio Mpenzi wake Connie siku ya kuzaliwa kwake kama zawadi. Mwaka mmoja ukapita Bibie Connie Akiwa Single bila Mpenzi wake Jimmy akamkumbuka maana ilikuwa siku yake ya Kuzaliwa nyingine akaamua kusikiliza Radio yake aliyonunuliwa mwaka mmoja uliopita huku anamkumbuka Jimmy Penda penda katika kipindi cha Radio Dj Special Dedication akasikia Dj akisoma barua ya Jimmy kwa wakati huo akitaja jina la Msichana Mwingine ambaye ndie Mpenzi Mpya wa Jimmy Penda penda akimtakia kheri ya kuzaliwa kwake na aliomba special dedication wimbo ambao Jimmy na Connie waliuita special song yao kimahaba dah! wakati Mapenzi yao yalipokuwa motomoto walikuwa wakitoka out wakisikiliza nyimbo laini laini na nyepesi za mahaba.

masikini Connie Smith alisikitika kwa Machungu kwa Mambo anayofanyiwa na Mpenzi wake wa Zamani Jimmy... akisema Huyo Mwanamke mpya wa Jimmy anasikia raha sasa huku na yeye Connie raha machozi yanatirilika huku moyo wake usikilizia... Aliimba wimbo mzuri Masikini Bibie Connie Smith kupunguza machungu yake moyoni...

Ndio Maana Yule Mchizi alijiua kwa ajili ya Rose Msaliti...!


(On the tiny blue transistor radio)
He bought it for my birthday just one short year ago
This tiny blue transistor radio (radio radio)
We stayed out late and listened to the music soft and low
On the tiny blue transistor radio
And the man at the radio station made the special dedication
To Jimmy and the girl that he love so
We kissed each other gently as we listened so intently
To the tiny blue transistor radio

And now just one year later his love for me is gone
He's out tonight with his new love I know (I know I know)
And I just heard them playin' the one we called our song
On the tiny blue transistor radio
And the man at the radio station made the special dedication
To Jimmy and the girl that he love so
Her happy eyes are glisnin' while my sad heart is listenin'
To the tiny blue transistor radio my tiny blue transistor radio

Connie Smith
Songwriters
BILL ANDERSON
 
Back
Top Bottom