Kama ni kweli, basi tutakuwa tumefikia ukomo wa kufikiri. Siyo kwamba watu wanapenda kutumia mkaa, ni bei ya mafuta ya taa + gesi bei zake hazishikiki. Hivi tumeshaanza kutumia gesi yetu?Haaaa haaa.Ilitakiwa kabla ya kuweka kodi kwenye mkaa gharama ya gas ishuke au waondoe kodi kwenye gas!
Nilisikia kwa masikio yangu DW radio,taarifa ya habari ya Jana SAA 7Kama ni kweli, basi tutakuwa tumefikia ukomo wa kufikiri. Siyo kwamba watu wanapenda kutumia mkaa, ni bei ya mafuta ya taa + gesi bei zake hazishikiki. Hivi tumeshaanza kutumia gesi yetu?
Huu ni mkakati wa kupunguza biashara ya mkaa, biashara ya mkaa imekuwa biashara yenye faida kubwa na kusababisha watu wengi kuingia. uingiaji wa watu kwenye biashara hii ni ongezeko la ukataji miti na uahribifu wa mazingira.Nilisikia kwa masikio yangu DW radio,taarifa ya habari ya Jana SAA 7