Sikiliza wimbo wa Godzilla; kila wakati

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
1,892
Fanyeni kuisikia hii ngoma zilla kaumiza sana

====================================
 
Mwanzo Zillah alikuwa fresh tu ngoma zake Za Mwanzo zinasikiliza ila alivyoanza kuchana kama 50 cent hapo ndio alipoanza kupoteza muelekeo.

Na huu ujio wa Billnas ndio kabisa unamvuruga Zillah.Anapanic mno
 
Back
Top Bottom