Iceman 3D JF-Expert Member Sep 3, 2016 20,611 67,091 Jan 25, 2017 #4 Yaan nikiangalia hiyo list ya wasanii wanao daiwa kwenda wasafi sasa hadi inakuwa shida Magazeti ya uongo sana hayo
Yaan nikiangalia hiyo list ya wasanii wanao daiwa kwenda wasafi sasa hadi inakuwa shida Magazeti ya uongo sana hayo
salim kimosa JF-Expert Member Jul 5, 2016 390 362 Jan 25, 2017 #5 Acha uongo unayafatilia haya magazeti ya udaku bure kabisa