cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Hapatanzania ukisikia Clouds utajua ni brand yeye ubora na ufanisi kutokana na redio yao,
kitu kikubwa chakusikitisha wameanzisha television yao ambayo wadau wengi walitegemea itakua
moto wa kuotea mbali kutokana na kile ambacho watu wamekizoea kusikia from radio yao ya Clouds FM
saizi ukiangalia clouds hawana ratiba inayoeleweka vipindi vipo vipo wanarudia rudia show za zamani matangazo ya biashara bira mpangilio hasa lile tangazo la Cocacola kila baada ya dk kadhaa inaboa sana ingawa ndio chanzo chenu cha mapato,wekeni mpangilio maalumu,
Ukiangalia kipindi kama Shilawadu kinachoanza saa 3 usiku ndio kinasemekana kimekua kipindi bora kwa mwaka 2016 lakini nacho kipo kipo tu muda wa kuanza unajulikana ila wakumaliza mpaka wachoke wao masaa mengi wanatumia kuonesha graphics tuu na mada zao kidogo
Pia quality ya sauti clouds Tv ni mbovu sana hasawakiwa wameweka music utadhani unasikia radio mkulima.
Jiongezeni Clouds kuweni makini TVE watawafunika sana wakianza matangazo yao kwani mpaka sasa the sound quality na image ya channel yao iko poa sana
nawakumbusha tu