Nyimbo zilizovuma na kusikilizwa na kila Mtanzania.

Justine Marack

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
606
1,674
Pamoja na changamoto za maisha ya sasa ya mpito, ninapenda ku share orodha ya nyimbo ambazo ziliwahi kuvuma na kusikilizwa pia kupendwa na takribani kila mwenye kusikia hapa TZ. Hii ni kwa sisi wa umri wa ujana wa alasiri.

1. Chambua kama karanga (Saida Karoli)
2. Starehe (Ferooz)
3.Kamanda (Daz nundaz)
4,5,6......... Unaweza kuongeza ili tukumbushane enzi.
 
Kuku kupanda baiskeli by Mr nice
Walimu by ras lion na John walker
Muziki by darasa
Kuolewa by twanga pepeta
Saut soul kuliko jana
Nipe macho gospel sijui nani yule dada
 
Zari la mental by profesa j
Umbo namba 8
Mume bwege by bushoke
Mpenzi bubu by h baba
Wanaume tumeumba mateso kuangaika by gurumo
Salome by ali kiba
 
Malebo, huu ni wimbo maarufu mno wa mchungaji munisi (nilisikia alikamatwa kwa ujambazi nairobi kama sikosei). Ulikuwa wimbo wa dini halafu wa kishua. Ukute kuna redio ya double deck hapo, basi burudani.
 
Ya nini Malumbano 20 Percent
Cinderela Ali Kiba

Bembeleza Marlaw
Mbagala Diamond

Tamaa Mbaya 20 Percent
Tunda Special Muumini Mwinyijuma
 
Sijaona Msondo wala Sikinde...

Ngoja niwaache vijana wa kesho na maubongofleva yenu
 
Kuleni kuku mayai mboga samaki maziwa
Na kujenga nyumba Safi pakulala pawe bora
Marehemu swalehe mwinamila
 
Back
Top Bottom