Huyu ndio mwimbaji bora (mwanaume) wa gospel wa muda wote

The oris

Member
Jan 4, 2017
91
167
Ambwene Mwasongwe (mwamlenga) huyu jamaa anajua sana hakika amebarikiwa mno, kipaji chake anakitendea haki.

Nyimbo zake zote zinagusa sana moyoni na rohoni, zinaelimisha.
1-Misuli ya imani
2-Upendo
3-Watoto yatima
4-Ndoa
5-Ombi langu
6-Tulipo toka
7-Mzee wa siku
8-Nguvu ya msamaha.
 
Ambwene mwasongwe(mwamlenga) huyu jamaa anajua sana hakika amebalikiwa mno,kipaji chake anakitendea haki.
Nyimbo zake zote zinagusa sana moyoni na rohoni,zina elimisha.
1-misuli ya imani
2-upendo
3-watoto yatima
4-ndoa
5-ombi langu
6-tulipo toka
7-mzee wa siku
8-nguvu ya msamaha.
Sidhani kama umewahi kumsikiliza Fanuel Sedekia, siku utakapomsikiliza utaandika Uzi mwingine humu.

Fanuel was "the real gospel singer" aliemanisha kumtumikia Mungu.

Alitumika na watu wote, hakuweka maslahi mbele, Nyimbo zake ni kama mpya kila siku.

Wakati mwingine alirekodi nyimbo ambazo zilikuwepo kabla, but alipoziimba zilikuwa na u tofauti.

I real like "Manukato, Nitaimba Haleluya"
Note: ninaheshimu mawazo yako thou
 
Back
Top Bottom