Vifurushi bora kwa wale wapakua movie usiku

Mr.Wenger

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
2,558
6,091
Wale wazee wa kupakua movies na series za kukesha mida ya wanga sasa wakati wa kupumzika umefika "Vodacom kazi ni kwako"
6df19a67a276cdb8fcaf7eb0f4bd86b0.jpg
 
Speed ya halotel ya internet sijawahi kuiona kwenye mitandao mingine. Hawa jamaa hawafai kbsa. Nawakubali. Mitandao mingine kudownload Gb 10 unatumia mwezi lkn halotel ni misaa tu
 
Back
Top Bottom