emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 543
Habari wandugu,Leo nilikuwa katika safari yangu ya kuja job mida ya saa 1 asbh,nipo kwenye gari nikasiki wanatangaza habari mbalimbali za ulimwengu kama masuala ya uchaguzi Kule Gambia si nikatega sikio vizuri sasa ile kumaliza tu habari wakaweka wimbo hizi za kimazense wakawa wanaimba sijui staili ya mende, stail chura,ya mbuz,baada ya kuisha wimbo nilichukia zaidi niliposikia watangazaji wanacheka ile mbaya wakiongozwa na kadada sijui kalikuwa kanawashwa!!!!!