Roma alipotabiri Magufuli atakuwa Rais

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592
Mnaikumbuka hii mistari katika wimbo wa Roma enzi hizoooo

" Bandugu bwaga manyanga ayaokote Magufuli,pesa za ujenzi wa shule kala na mkewe Headmistress,thamani ya mabango ya kampeni peleka watoto veta.Anajiuliza Dr Slaa ni wapi anapata data hata kama nimevaa mlegezo ikulu napiga chata"

"Ikulu imejaa vibaka Manzese wanawakamata,makahaba wanaongezeka Boom linapokata "

"Wanauziana kwa minada minada mali za serikalini,mhasibu anacheki porno sisi tumepanga foleni"


Kweli alisemwa sana mzee wetu,
Nikki-Sorry JK
Roma-Kila kitu K
 
Back
Top Bottom