Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Huu wimbo nmeuskiliza asbh ya leo naona umejaa ujumbe tupu, 1.hata nisiowategemea leo wametugeuka(magu), 2.Niliowaheshm leo wamenihukumu(awamu5) 3.siku hazigandi(time will tell), 4. HAKUNA...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
I love this song for real since that time to now and latter "No Air" (feat. Chris Brown) [Jordin] Tell me how I'm supposed to breathe with no air If I should die before I wake It's 'cause you...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hawa wasanii tofauti yao ya uimbaji na beat zao kwa asilimia kubwa zinafana, je wewe unawazungumziaje? Sikiliza wimbo wa Akcent How deep is your love na Stereo love ya Edward maya pamoja na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi everyone, If you are from East Africa, would you please help to fill in the survey below? It takes you only 2 minutes. Every of your opinion would be greatly valued! Thanks in advance. The...
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Naomba tujuzane season iliyovunja rekod mwaka huu ambayo imewekwa kiswahili
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Haikuingia akilini hata kidogo, haikumuingia akilini bi Ramla, hata kidogo. Alisimama hapo mbele ya kioo cha maliwato ya wanawake akijiangalia. Akijiangalia uso wake uliojaa machozi, pamoja...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Uzinduzi wa filamu ya #KaribuKiumeni unaendelea muda huu Mlimani City, Tazama Live... http://bit.ly/2m0KTdC
0 Reactions
0 Replies
977 Views
bonyeza link hii hapo chini[emoji116] [emoji116] kudownload nyimbo yangu inaitwa UPENDO Chonda Jr ft Nas prince http//www.beupdatedtz.com/music-chonda-jr-ft-Nas-prince-upendo-new-audio/...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wimbo unaitwa natanga na njia - umeimbwa na Ally star, nimeutafuta kila kona bila mafanikio.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Hii series ya Udaan sapnoki ulishawahi kuiangalia, na ulielewaje jinsi alivokuwa anaigiza mtoto Chakor.??????!
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Jina la Album ni Inuka Uangaze, naona wameamua kuachia audio kwanza tukiendelea kusubiri Video. Ila sidhani kama ni official release mana nimezoea kuziskiliza baadhi ya nyimbo hizi pale kanisani...
0 Reactions
1 Replies
21K Views
A new rap video from Snoop Dogg has stirred controversy with its mock execution of a clown dressed as President Donald Trump. The video for "Lavender" (Nightfall Remix) ft. Kaytranada & Snoop...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wimbo wa Harmonize uitwao Niambie upo ingia katika website ya wasafi kununua ni shilingi mia tatu ya kitanzania.
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Jamani najaribu kununua nyimbo kwenye hiyo website lakini nashindwa, kwaaliyefanikisha anijuze.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Team Destination wameachia video ya wimbo wao mpya unaitwa Naongea na simu.Na wasanii wapya Ila kwa uwezo Wa kuimba na kuandika nawatabiria kufika mbali katika tasnia hii ya burudani. Kutazama na...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Hii nyimbo yao inaitwa rudi ni nyimbo kali kabisa kwa mwaka huu Hongera sana kijana
1 Reactions
7 Replies
2K Views
*JINA LA RIWAYA: DUNIA TAMBARA BOVU* *MWANDISHI: (HYUNGNIM)* Ulikuwa usiku adhimu kupata kutokea kwa mabanati na majamali ya nguvu.Jiji la Bujumbura lilitoa mng'aro uliopambizwa na taa kubwa...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
1. EFM- dar 2. JEMBE FM -Mwanza 3. Kiss FM - Mwanza 4. Ea radio - dar 5.lake FM- mwanza Toa zakoo na wewe.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri kwenye muziki wa bongo fleva jinsia ya kike baasi huwezi kumuacha Vanessa mdee ( v-money), lady jaydee ( komando) na wengine wengi. Leo naomba nimuongelee...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…