Movies and sports za Bongo

chicharitto

New Member
Oct 24, 2012
2
1
Inasikitisha sana kuona tunalazimishwa kuangalia Movies zisizona viwango wala ubora. Na kuzuiwa kuangalia zenye viwango na za kusisimua.
 
Hazina bajeti ya kutosha. Wataalamu AMA wasomi katika hiyo tasnia naamini wapo...
Maana ili kujenga uhalisia kwa mtazamaji,mengi yanahitajika ikiwemo kuwa na kamera za kutosha,na Mahali panapotumika kwa kuigiza..
 
Bongo movie imekula kwao maana walidhani wataendelea kubebwa na wanasiasa wakasahau kuwa wao wanatakiwa kutojihusisha na siasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom