Huu wimbo nmeuskiliza asbh ya leo naona umejaa ujumbe tupu,
1.hata nisiowategemea leo wametugeuka(magu),
2.Niliowaheshm leo wamenihukumu(awamu5)
3.siku hazigandi(time will tell),
4. HAKUNA...
I love this song for real since that time to now and latter
"No Air"
(feat. Chris Brown)
[Jordin]
Tell me how I'm supposed to breathe with no air
If I should die before I wake
It's 'cause you...
Hawa wasanii tofauti yao ya uimbaji na beat zao kwa asilimia kubwa zinafana, je wewe unawazungumziaje? Sikiliza wimbo wa Akcent How deep is your love na Stereo love ya Edward maya pamoja na...
Hi everyone,
If you are from East Africa, would you please help to fill in the survey below? It takes you only 2 minutes. Every of your opinion would be greatly valued! Thanks in advance.
The...
Haikuingia akilini hata kidogo, haikumuingia akilini bi Ramla, hata kidogo.
Alisimama hapo mbele ya kioo cha maliwato ya wanawake akijiangalia.
Akijiangalia uso wake uliojaa machozi, pamoja...
bonyeza link hii hapo chini[emoji116] [emoji116] kudownload nyimbo yangu inaitwa UPENDO
Chonda Jr ft Nas prince
http//www.beupdatedtz.com/music-chonda-jr-ft-Nas-prince-upendo-new-audio/...
Jina la Album ni Inuka Uangaze,
naona wameamua kuachia audio kwanza tukiendelea kusubiri Video. Ila sidhani kama ni official release mana nimezoea kuziskiliza baadhi ya nyimbo hizi pale kanisani...
A new rap video from Snoop Dogg has stirred controversy with its mock execution of a clown dressed as President Donald Trump.
The video for "Lavender" (Nightfall Remix) ft. Kaytranada & Snoop...
Team Destination wameachia video ya wimbo wao mpya unaitwa Naongea na simu.Na wasanii wapya Ila kwa uwezo Wa kuimba na kuandika nawatabiria kufika mbali katika tasnia hii ya burudani.
Kutazama na...
*JINA LA RIWAYA: DUNIA TAMBARA BOVU*
*MWANDISHI: (HYUNGNIM)*
Ulikuwa usiku adhimu kupata kutokea kwa mabanati na majamali ya nguvu.Jiji la Bujumbura lilitoa mng'aro uliopambizwa na taa kubwa...
Moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri kwenye muziki wa bongo fleva jinsia ya kike baasi huwezi kumuacha Vanessa mdee ( v-money), lady jaydee ( komando) na wengine wengi.
Leo naomba nimuongelee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.