Video: Show Me - Harmonize x Rich Mavoko

Kwel kla mtu ana maskio yake..nymbo ya kawaida sana..
Warekod nje ya wasafi now..mana 2 b honest,ngoma peke on fire from wasafi kwa ss n kijuso emb imagine..
 
its just a normal song, next skngs warekod nje ya wasafi studio si dhambi

Kwel kla mtu ana maskio yake..nymbo ya kawaida sana..
Warekod nje ya wasafi now..mana 2 b honest,ngoma peke on fire from wasafi kwa ss n kijuso emb imagine..

Msitake kuwapangia watu kazi zao, kama mnawajua maproducer na studio nyingine kwanini hamuendi mkaimbe tusikie hizo nyimbo zenu?
 
Back
Top Bottom