Naomba kuelekezwa beach nzuri za Bagamoyo za bure au za kulipia nikapunguze mawazo

Ungejua stelles ni nini, ungejicheka.:D

Kuna kule kwa masista jina nimesahau nimepajua kupitia sherehe za harusi, pametulia sana na utaweza kusali pia.
 
Duh! Hata kisukuma nacho kina kiki town kwa sasa ungetumia rafiki km unajiskia aibu kusema kiswhl
 
Daaa!!!,, aya bnaa,, wakikuelekez sehem ukawez kuzpunguz izo"stelles" usisahau kuleta mrejesho mkuu
 
Neno stress linapunguza ukali wa maneno kuliko kusema msongo wa mawazo.......
Jiulize tu mtu kukuambia ana msongo wa mawazo kwanza utahisi ni ugonjwa lakini akikuambia naondoa stress unachukulia kawaida kumbe ni sawa tu na msongo wa mawazo
 
Stelles siyo stress....anyways sikupangii
 
Back
Top Bottom