Miss World imeingia kwenye skendo nzito. Ni baada ya kuingizwa mkenge na Miss Kenya, 2016, Evelyn Njambi aliyewasilisha video ya masuala ya ukeketaji kwaajili ya shindano la Beauty With Purpose na...
Muda huu mpira umeisha na wekundu wa msimbazi wamenusurika mdomoni mwa watoto wa Mwanjelwa nw Soweto. Ni baada ya refa kuhakikisha anawasaidia katika kutimiza ile kampeni ya Simba awe bingwa...
Jaman eeeh yoyote mwenye uelewa anieleweshe ivi hii movie ya moonlight ina maudhui gani maana me sielewi kabsaaa wana jf mwenye uelewa na ambae ameshaiona
Pamoja na matatizo yake ya madhara ya madawa ya kulevya ray c mungu kampatia kipaji cha pekee cha sauti tamu sana anajua kuimba sana. Natamani ingetokea mtu atoe utaratibu mzur wa kuuza nyimbo...
Nimeuliza kwakuwa naina nchi nyingi huwa na nembo zinazo watambulisha katika nchi za nje hata katika michezo...Mfano ni kenya wana nembo yao kama taifa ukiiona unajua hii ni kenya,England mbali ya...
Hii ni filamu mpya kabisa inayosubiriwa na wapenzi wa filamu duniani kote. Filamu hii inatarajiwa kutolewa rasmi tarehe 7 January 2017. Ni filamu iliyochezwa na mastaa wakubwa wa filamu duniani...
Toka yanga wakate rufaa kwa mshambuliaji wao OBREY CHIRWA yamepita zaidi ya masaa 72 lakini hakuna chochote ambacho TFF wameamua.
kila mtu aliona mechi jinsi refa alivotumika kuinyonga yanga...
Wimbo wa diamond marry u unazidi kusumbua dunia kwa sasa paka sasa huu wimbo umeshika namba moja afrika kwenye trace kwa sasa umeshafika paka spain finland derlmack
Black-ish moja kati ya comedy nzury kuzifatilia, zaidi inaelezea maisha ya watu weusi wenye kipato cha kati wanayopitia Marekani.
Hii series ilianza mwaka 2014 lakini kwa muda fulani ilistopishwa...
wanao weza kutafsiri tusaidiane.
Kanyeezy you did it again, you a genius nigga! »
Lucifer, son of the morning! I'm gonna chase you out of Earth »
(I'm from the murder capital, where we murder...
Cannot find in any of the music searches like wikimusic or shazam.
Please help me.
Do you know where this is from?
I put it up on vocaroo.com /i/s1YkTc0jNCuw
Perhaps it's part of an opera? I...
Hi - I'm a songwriter with some classical training. I don't write in a classical idiom - I mainly write comedy songs and I'm just starting to branch into jazz and swing. Nevertheless I find that...
Wale waliokua miaka ya mwanzoni ya 2000 (2000-2004) kulikuwa na kundi la music la mwanza walikuwa wanajiita BWV (boys with voices) walitoa nyimbo nyingi ila maarufu zilikuwa ni Barabara za mwanza...
"Nimekua kaa daladala, kutwa kucha kwa barabara, nizichange hizo gwala gwala nikutunze mama"
Sijui kauimba nani, kwangu ni wimbo bora kabisa wa decade hii kutoka hapa nyumbani Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.