Mbali na wasanii wa hapa nyumbani Afrika.
Kuna huyu jamaa anaitwa Rag'n'Bone Man ndiye msanii ambaye nimetokea kumpenda sana kwa mwaka huu 2017. Ni moja ya wasanii ambao wanaimba vitu ambavyo...
Habari za usiku wana JF?
Nilikuwa naomba kama kuna mtu yeyote Anaoujua wimbo wa kwaito ambao unapigwa sana kwenye harusi na hata masherehe ambao kiitikio ni sauti ya kike inaitia
Nakupendaa aah...
Kipindi cha Ujana wangu nilipo kua nafwatilia mziki kwa ukaribu sana hasa wa Hiphop hapa Bongo
P funk alikua ni the best producer
kwani katika top ten chart ulikua unakuta nyimbo nane au tisa...
Wandugu, kwa heshima na taadhima naomba kwa mwenye wimbo wa Captain Komba (RIP) wa "The wind of Change". Wimbo huu umeimbwa mwanzoni mwa miaka ya 90's na ulihusu mageuzi na kuanzishwa kwa vyama...
Miss World imeingia kwenye skendo nzito. Ni baada ya kuingizwa mkenge na Miss Kenya, 2016, Evelyn Njambi aliyewasilisha video ya masuala ya ukeketaji kwaajili ya shindano la Beauty With Purpose na...
Muda huu mpira umeisha na wekundu wa msimbazi wamenusurika mdomoni mwa watoto wa Mwanjelwa nw Soweto. Ni baada ya refa kuhakikisha anawasaidia katika kutimiza ile kampeni ya Simba awe bingwa...
Jaman eeeh yoyote mwenye uelewa anieleweshe ivi hii movie ya moonlight ina maudhui gani maana me sielewi kabsaaa wana jf mwenye uelewa na ambae ameshaiona
Pamoja na matatizo yake ya madhara ya madawa ya kulevya ray c mungu kampatia kipaji cha pekee cha sauti tamu sana anajua kuimba sana. Natamani ingetokea mtu atoe utaratibu mzur wa kuuza nyimbo...
Nimeuliza kwakuwa naina nchi nyingi huwa na nembo zinazo watambulisha katika nchi za nje hata katika michezo...Mfano ni kenya wana nembo yao kama taifa ukiiona unajua hii ni kenya,England mbali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.