Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,657
Kumekua na style mpya ya wana Bongo Fleva kutopeleka kazi zao kwenye TV eti kisa waongeze youtube views.Aisee hapa mmepotea....wapenzi wenu wanaangalia sana TV...utashangaa unaenda kwenye show wanaojua nyimbo yako ni wale wenye hela ya bundle au wanaojua kutumia youtube which means wengi watakosa kujua nyimbo yako.Hii nimeona kwa Harmonize ambae nyimbo yake ya "Nambie" haijapata airplay kwenye TV sana lakini youtube views zinamdanganya.Wanaoenda kwenye show zenu sio hawa wenye hela za bundle,ila ni wale ambao hawana.
NB: Asie sikia la mkuu........
NB: Asie sikia la mkuu........