Ule wimbo "background melody" kipindi cha Radio1 zilipendwa

melech

Member
May 29, 2013
62
25
Amani ikae nanyi!

Naombeni jina la huu wimbo:

Kuna wimbo ambao Radio 1 huwa wanautumia kama "background melody" kwenye kipindi chao cha Zilipendwa kile cha Jumapili mchana (nadhani bado kinaanza saa nne asubuhi hadi sita mchana). Huwa wanaweka instrumental yake tuu na wanaweka wakati mtangazaji anaongea (in the background). Naupenda sana nataka niutafute, tafadhali kwa anayeufahamu anijulishe jina la wimbo huo.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom