josephjrm
Member
- Nov 11, 2015
- 41
- 42
Kumekuwa na nyimbo zikitolewa za madj na maproducer kuwashirikisha wasanii waimbaji na wao hawaimbi kabisa kwenye nyimbo hizo mfano wimbo wa DUAS wa LEGENDARY BEATS FT VANESSA MDEE , I GOT THE KEYS, DO YOU MIND za DJ KHALED FT C.BROWN, NICK MINAJ NA FUTURE
hivi inakuwaje kwenye show, dj khaled au legendary beat wanapigaje show wakati hawajaimba chochote? Anaejua atujuze
hivi inakuwaje kwenye show, dj khaled au legendary beat wanapigaje show wakati hawajaimba chochote? Anaejua atujuze