mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,231
Huwa ni mpenzi wa Games especially Brain Game zinazohusisha Mathematics, Puzzle na Vitu vingine.
Limbo Ni Best Game , Ni game linalohitaji utulivu wa Akili Kuvipita vikwazo vilivyowekwa.
Kumbuka, IQ Ya Mwanadamu Huongezwa Kwa Jinsi Ubongo wake Unavyojishurutisha katika kutesekea kutatua kikwazo fulani na Baada ya ubongo kufanikiwa kulitatua tatizo husika, basi elewa fika Ipo Percent flani ya IQ nayo itakua imeongezeka.
Find the Game for you even kwa mtoto wako.
Walau aweze kutatua Vikwazo Viwili/Two Levels kila siku kabla ya kufanya homework, hakika itauanda ubongo wake kua mwepesi kufikiri zaidi wakati wa kufanya homework.
Wengi wenu mkiwa mnadhani Game ni anasa kwa mtoto , Basi tumia Fursa ya Kugeuza kua Jambo positive kwake .
100% Baada ya kumaliza Mchezo huu basi Tegemea Walau 0.5% if not 1% ya IQ Kwako na kwa Familia yako itakua imeongezeka.