Kwa wadau wa mziki huyu Ney mnamchukuliaje? Sikiliza muziki wake mpya
Verse 1:
Unachokipanda leo ndicho
utachovuna kesho.
Imeandikwa Mwanaume kula kwa
jasho.
Najiuliza hivi ni nani kaiona...
List za ngoma zinazopanda na kushuka tz kila wiki....
10: Rayvan-kijuso
09: Young killer- sinaga swaga
08: Madee-hela
07: Nandi ft chege- kelele za chura
06: Ben paul- phone
05: Chege &temba - go...
Kazi yako ya Nisaide kushare imesimama sana bro, hongera sana. Umeonesha kwamba wewe ni mkongwe katika hip hop, huyumbi na hugeuki. Kaa hata mwaka mzima lakini ukija kurealese unafanya ile kitu...
SEHEMU YA PILI.
Miaka mitatu tu tangu Raisi atoke Syria lakini malalamiko yalikuwa mengi sana wengi walisema Raisi Nobert amebadilika sana amewageuka wapiga kura wake wakiwa hawajui kuwa Yule si...
Habar wadau,
aic chang'ombe ni moja ya kwaya ya nymbo za injil ambayo albam zake tatu zilizopita zinafanya vizur sokon had leo
1.VUNJA
2.GUSA(2006)
3.MPINGA KRISTO(2009)
naulze je wametoa...
Hip Hop na moja ya mziki ambayo hukememea uovu pale unapotokea kwenye jamii.Kuna wasanii maarufu ambao tumewashuhudia awamu ya Nne wakiikosoa serikali bila kuogopa mkono wa dola kama vile ROMA...
Timu yetu Arsenal! Mara ya mwisho Arsenal kutwaa taji...
-Rais wa Tanzania alikuwa Mkapa
-Kim Kardashian alikuwa bikra
-Diamond alikuwa anaitwa Nassib Domo wa
Tandale
-Nick Minaj alikuwa flat...
Mwaka jana muziki wa singeli muziki ulioibuka kutoka uswahilini na kutapakaa nchi nzima ghafla na kutishia mustakhabari wa muziki wa bongo fleva hasa hip hop sasa umefikia mwisho
Kama aina ya...
Akiongea na waandishi wa habari mwenyekiti wa maandalizi ya team ya serengeti boys kasema wimbo utakao tumiwa kutoa hamasa kwa timu ya serengeti boys umeimbwa na wasanii kadhaa wakiwamo diamond...
Habari za asubuhi wana JF,
Poleni na shughuli za ujenzi wa Taifa. Kama maada inavyojieleza hapo juu, ninaomba mwongozo kwa yeyote anayefahamu mamlaka ambazo inabidi kuzitembelea ili kupata vibali...
Wadau niaje, ebhana nashindwa kitu kimoja, kila nikijaribu kupata huduma ya Go Live kwa TCL inagoma. Inaishia kuniambia kuwa Network unavailable, wakati huo huo nikiwa kwa Youtube au social apps...
Wadau nimeusikiliza leo kwa mara ya kwanza huu wimbo wa huyu jamaa, Ki ukweli ni booonge la wimbo na Jamaa atapata show nyingi sana kwa huu wimbo ila sielewi maudhui yae hasa ni nini.
Inasemekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.