Movie ya Kiumeni

Prophet

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
274
126
Hii movie sijaiona. Ila kiukweli mimi si mpenzi wa bongo movie na kwa idadi ya movie za bongo nilizoangalia ni nadra sana kufika hata kumi. Hapo nyingi nimelazimishwa kuangalia kwenye mabasi nikiwa safarini

Ila kuna hii movie mpya, Kiumeni. Sina uhakika kama imekuwa hyped sana ila nadhani ni movie nzuri. Kwa yeyote aliyeiona aniambie kama niwazacho ni sahihi na kama ni sahihi basi kama ipo madukani nitakuwa tayari kuinunua.

Pia kama kuna movie ya bongo yoyote ni nzuri nipe list, quality iwe nzuri na story nzuri. Siyo masuala ya kukaa na remote muda wote ili nipunguzr sauti na kuongeza kwakuwa sauti haijabalance
 
apa bongo kukaa na remote muhimu,unaeza pata yenye quality hiyo lakini gari linapakiwa dakika 10,familia inakula nusu saa.othewise uwe na chembechembe za tabia za mashabiki wa arsenal
 
Hiyo kiumen mwanzon mbaya haielewek katikati ikawa taaaam mno ila mwisho sasa wakaamua kufata misingi ya Bongo muvi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom