Bongo Movies, Bodi ya Filamu wanastahili kushtakiwa

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,012
Kumekuwepo na taarifa kwamba eti wanataka kumshatki DJ Murphy kwa kutafsiri movie za nje kwa kiswahili, aisee hawa tumewalegezea sana embu twende nao samba sasa kama mbwai iwe mbwai tu.

Hawa wasanii wa Bongo movies wanatumia sound effects za movie za Hollywood, yaani maigizo yao tu yakianza utasikia sound za 300, terminator hadi movie za Nigeria zinatumika.

Wanatumia nyimbo za wasanii kama P Square na hata za wasanii wa America kwenye maigizo yao bila ruhusa wanaiga movie za watu na kuzicheza kwa kiswahili haswa bwana JB.

Hayo yanatosha kuwafikisha mahakamani na kuwasiliana na wahusika ambao soundtracks zao zimetumika kwenye maigizo ya kibongo bila ruhusa yao au kama Makonda alivyosema watuonyeshe mikataba inayowaruhusu kufanya hivyo.

Bodi ya filamu huwa inakagua maigizo ya hawa wapuuzi ila inapitisha bila hata kuuliza ruhusa ya kutumia soundtracks za watu, nao washtakiwe.
 
Kwahiyo hii itajustify wengine kutoshitakiwa?
Wakati wanshtaki wenzao nao washtakiwe kwa kutumia soundtracks za Hollywood bila ruhusa na ikibidi tutatuma e mails pamoja na vipande vya ushahidi kwa wahusika hadi nigeria kwa kina Wizkid na kina P Square waje wachukue mahela ya faini huku kwa hawa mabashite.
 
Wakati wanshtaki wenzao nao washtakiwe kwa kutumia soundtracks za Hollywood bila ruhusa na ikibidi tutatuma e mails pamoja na vipande vya ushahidi kwa wahusika hadi nigeria kwa kina Wizkid na kina P Square waje wachukue mahela ya faini huku kwa hawa mabashite
Kwahiyo hiyo itasaidia nini kwa wale wanaotaka kushitakiwa?
 
Basi sawa waambie akina p square waje kushtaki wakati tunawashughulikia wezi wa kazi za sanaa
Mbona tayari tunatuma ma emails na uthibitisho tena kuna soundtrack moja ya gladiator aliyocheza russel crowe iko karibu kila igizo la bongo yaani mpaka raha, full kuaibishana, kama mbwai iwe mbwai
 
Mbona tayari tunatuma ma emails na uthibitisho tena kuna soundtrack moja ya gladiator aliyocheza russel crowe iko karibu kila igizo la bongo yaani mpaka raha,full kuaibishana,kama mbwai iwe mbwai
Tunawasubiri kama hawana kazi watakuja.
 
Kumekuwepo na taarifa kwamba eti wanataka kumshatki DJ Murphy kwa kutafsiri movie za nje kwa kiswahili, aisee hawa wehu tumewalegezea sana embu twende nao samba sasa kama mbwai iwe mbwai tu.

Hawa wasanii wa Bongo movies wanatumia sound effects za movie za Hollywood, yaani maigizo yao tu yakianza utasikia sound za 300, terminator hadi movie za Nigeria zinatumika.

Wanatumia nyimbo za wasanii kama P Square na hata za wasanii wa America kwenye maigizo yao bila ruhusa
wanaiga movie za watu na kuzicheza kwa kiswahili haswa bwana JB.

Hayo yanatosha kuwafikisha mahakamani na kuwasiliana na wahusika ambao soundtracks zao zimetumika kwenye maigizo ya kibongo bila ruhusa yao au kama Makonda alivyosema watuonyeshe mikataba inayowaruhusu kufanya hivyo.

Bodi ya filamu huwa inakagua maigizo ya hawa wapuuzi ila inapitisha bila hata kuuliza ruhusa ya kutumia soundtracks za watu, nao washtakiwe.
Hawa sasa wamechanganyikiwa inafika mahali ni kuwaonea tu huruma sasa.
 
Tunawasubiri kama hawana kazi watakuja
usijali bashite atawaomba mikataba ya russel crowe au paramount,universal na ma studio yote ya hollywood tujue ni lini yaliruhusu vilaza kama nyie mtumie sfx zao kwenye maigizo yenu
 
Basi sawa waambie akina p square waje kushtaki wakati tunawashughulikia wezi wa kazi za sanaa
Na Bongo muvi nao wawaambie wakorea waje wawashtaki wakina dj macky wakati tunaendelea kuangalia episodes za mwisho mwisho
 
Back
Top Bottom