Hard Blasters Crue(HBC) FUNGA KAZI

Napenda ukisema jay kurataribu hii ni yote yako zabibu

Nilivunja sheria za barabara na trafic alichekelea alijua akizuia msafara boss wake atamfokea
Pesa ziliongea hakuna aliyenisogelea na kila aliuenichezea alishia kunyea dege segerea
 
Nipoze moyo mama, nimechanganyikiwa penzi lako LA maana. Mapenzi si ugomvi mapenzi si uhasama. Nipe penzi nikupe hapa Mimi in salama. Ee mamsapu, kwanza tulia, uliposhika shikilia, wala usikonde........

Enzi zileeee za Jay arosto ameshazeeka.
Kumbe na wewe ni wa long
 
Niamini, nataka uwe na mimi
Watu wenye fitina wanaleta majungu,
Uachane na mimi

Hivi kwa nini
Hutaki kuniamini
Nyoyo zipo pamoja
Mpaka siku kifo,
Uanze wewe au mimi
 
Napenda ukisema jay kurataribu hii ni yote yako zabibu

Nilivunja sheria za barabara na trafic alichekelea alijua akizuia msafara boss wake atamfokea
Pesa ziliongea hakuna aliyenisogelea na kila aliuenichezea alishia kunyea dege segerea

Kila baa niliyoingia wapambe walishangalia kwa kuwa walipata hakika ya kula kitimoto na bia,

Kuna mstari naupenda kwenye huu wimbo anasema "fedha ni kama shetani ukiwa nayo huwezi tukuka"
 
Kila baa niliyoingia wapambe walishangalia kwa kuwa walipata hakika ya kula kitimoto na bia,

Kuna mstari naupenda kwenye huu wimbo anasema "fedha ni kama shetani ukiwa nayo huwezi tukuka"
Asifiwe baba mwana na roho mtakatifu ushikashifu
 
Kwa kifupi nimekulia kwenye maisha ya kitajir wazaz walinipenda walinipa lile hili na tangu nikiwa mdgo nilionesha kwamba nna akili nilikimbia umaande kusoma maisha yalikua matam nilisahau ya jehanam ilitakiwa uwe na hadhi flan upate yangu salam
Dah mziki ulipoitwa mziki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom