Huu wimbo unaitwaje na aliyeuimba ni nani?

Huu wimbo unaitwaje na aliyeuimba ni nani?

Afrika eehee!, Africa mwana marumbo ,
Afrika ,afrika ,
Afrika ,Afrika enheee
...mangez beaucoup, dancez beaucoup oooooh ooh Afrika, Afrika oooh iyeee oooh iyeeee oooh Afrika........!!
Sasa collection hii utaipenda:
-Agolo: angelique kidjo
-bang bang bang: femi kuti
-Afrika: Selif Keita
-alafu kuna zouk fulani: ooh la ulalala uleleleee....!
-etc
 
Shukrani sana kiongozi vipi unaujua jina lake?
Si nimeuweka hapo mkuu, au huwezi kuu-download kutokea hapo? Anaitwa 'Manu Dibango' na wimbo unaitwa 'Aye Africa'.

CHIEF MKWAWA msaidie jamaa a-download wimbo huo kwa namna ya "Attached file" yaani aki-click tu uji-download kwenye simu yake.
 
Franklin Boukaka Aye Africa

Marehemu Salama Mfamao alikuwa anaupenda sana huu kuanza nao kwenye kipindi chake... RTD

Franklin Boukaka na Manu Dibango sijui nani ndo mtunzi ila Manu Dibango ameuimba vizuri na ndo huo nimeweka video yake.
 
Wewe utakuwa mtangazaji wa kipindi cha halafu MI lakini wamo
Wapi ndugu yangu hayo mambo yana wenyewe sisi mashabiki tu wa vitu vizuri mziki usio kuwa na midomo ya bata ladha yake inapungua leo msondo na ddc ndo utawapata watu hao lakini zamani aah acha ndugu waambie vijana wamtafute mafumu bilali awafundishe kuchezea hio ala.
 
Haaa
 
nilivyo muelewa anaulizia wimbo wa SELIF KEITA......naona hapa umewekwa wa MANU DIBANGO....
 
Back
Top Bottom