Joh makini nisamehe kwa hili sijaelewa

rmo

Member
Nov 20, 2016
97
101
Eti kiitikio kinasema " excuse me can i get number can i get ur number"
halaf mashairini sasa eti naomba usiniache mpenzi wangu tupendane .....cjui nini brah brah...
sasa joh kivipi mtu akuache au asikuache na wakati HATA namba yake hujaipata maake hata hujamtongoza..aaaaaaaaaah

Nna vyeti orijino
 
"Excuse miss!" Samahani lakini!
 
Kweli hujamuelewa mkuu, anamuongelea demu ambaye wamezinguana,kiasi cha huyo demu kubadili namba.Bahati nziuri akakutana naye sehemu. Ndio akawa anamuomba angalau amuachie hiyo namba yake mpya, ili wasipotezane kabisa! Na siku akimpigia ajue zile shida zilizosababisha wazinguane zimeisha!
 
- MWAMBA WA KAZI KAZINI-

Watoto wa dsm endeleeni kuimba haina ushemeji.
 
Kweli hujamuelewa mkuu, anamuongelea demu ambaye wamezinguana,kiasi cha huyo demu kubadili namba.Bahati nziuri akakutana naye sehemu. Ndio akawa anamuomba angalau amuachie hiyo namba yake mpya, ili wasipotezane kabisa! Na siku akimpigia ajue zile shida zilizosababisha wazinguane zimeisha!
Safiiiii nadhani ameelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom