Heshima kwenu wakuu.
Naomba kwa yeyote mwenye kuwa nayo hiyo beat ya Mboga Saba toka kwa MR.BLUE anisaidie tafadhali.
Nimejaribu ku-search google ila nimekuta ambazo watu wane-copy lakini sio...
Kama tunavyojua muziki ni kama mbio za kupokezana vijiti.
Muziki wa rap kwa kipindi cha mwaka na ushee umekuwa ni wa Darasa baada ya kuupokea kwa Nay wa Mitego aliyepokea nae kijiti kwa Chidi...
kipindi cha hv karibuni naona msanii Rich mavoko toka awe WCB anashuka baada ya kupanda, maana ktk nyimbo aliyeimba na diamond kafunikwa na ss hv tena ktk nyimbo ya show me na harmonize pia...
Msanii akitoa wimbo mpya ukapata promo ya kutosha kila mtu anamdandia.Wimbo ukichuja wanatafuta mwingine mwenye kick.Pia wanamuziki wa Bongo hawana uhakika na maisha yao ya sanaa kwa sababu...
Yamoto Band wameibuka na kutamba na nyimbo mbalimbali katika Bongo Fleva, shukrani za pekee ziende kwa Mkubwa Fella kwa kuwapa nafasi madogo.
Ipi ni nyimbo bora ambayo Yamoto Band wamewahi...
Huyu jamaa mi namkubali sana sababu sio muoga kabisa ukizingua anakuchana tu kupitia mic. Hii ni baadhi ya mistari ya nyimbo yake kali kabisa inaitwa
Tanzania.
Aliimba hivi; ''Najua msema kweli...
habarini ndugu zangu:
nauliza ni station gani wanaonyesha mieleka(Wwe)
za hapa Tanzania/Africa/Duniani
......
Ambae anazifahamu aorodheshe Tafadhali
(maana sijamwona Roman reigns nna muda mrefu/...
CRONOC 7
richard MWAMBE
01
N
DANI YA CHUMBA CHENYE GIZA sauti za watu wawili tu zilikuwa zikisikika, kilikuwa ni aina fulani ya kikao cha siri ambacho hakuruhusiwa mtu...
Hili kundi nilianza kulijua miaka ya 2001 wakitamba na nyimbo zao kama napesi,mwinda nk
ila wamepotea sana
hiv hili kund bado lipo au ndo walixha tengana?
SEHEMU YA 03
David Robert, Mtanzania anayeishi Marekani anaingia Marangu, mkoani Kilimanjaro akiwa na wenzake Wilson Johnson na Joel Poulsen ambao ni wazungu, kwa pamoja wanamsaka msichana...
Kuna makundi ya hip pop yalikuwepo miaka hiyo ambayo yalikuwa na nyimbo zao nazitafuta hasa baada ya kuzipoteza nlipoenda Majuu miaka ya 2000s . hawa jamaa walikuwa hatari sana makundi kama GWM...
Nimekaa na kujiuliza sana ni aina gani ya muziki ambayo ni identity yetu kama watanzania, nikakosa jibu. Kwaito ni South Africa, Reggae ni Jamaica etc, sisi ni aina gani ya muziki ikipigwa...
Aloo kumbe huyu mwana hip hop ni mnazi mkubwa wa washika bunduki wa london mchezaji anaempenda sana ni OZIL anakwambia akimuona tu uwanjani huwa ana asilimia flani za ushindi....tatu zake chafu...