Eleka oko ya Fally Ipupa..

Eleko Oyo ina maaana ya kusema KITU HICHI, Japokuwa kutafairi lugha inategemea na sentesi

So anaposema Kitu hichi alikuwa anamaanisha huu Mziki KWA MIMI NILIVYOELEWA

Eloko oyo eleki diamant ya ngoyo HIKI KITU NI CHA THAMANI KULIKO ALMASI (diamond)
E somba ba mituka oh Eloko oyo HIKI KITU KINANUNUA GARI

E somba ba lopango oh Eloko oyo HIKI KITU KINANUNUA NYUMBA

eloko=Kitu
somba= kununua
Mituka=Motokaa, gari
Lopango=nyumba, plot

Ngoja niusikilize vizuri, ntakuandikia na wimbo wote
 
Ahsante mkuu nakusubiri
 
Muziki wa Africa bana tamaduni zinafanana sana! Uvaaji wa wanawake huwa unaniacha hoi! All in all muziki inabamba kweli kweli! Acha turudi kwenye maombolezo!
 
Ahsante mkuu nakusubiri
Nimeusikiliza na nimeambulia haya nadhani ni kwenye beti ya kwanza, tafsiri si ya moja kwa moja ni jinsi mimi nilivyoelewa japo unaweza kupata tafsiri nyingine, lugha ya Lingala haina misamiati mingi maneno huya yanajirudia rudia sana lakini yanakuwa na maana tofauti kulingana na sentensi, japo tafsiri inaweza isiwe sahihi sana lakini nadhani utapata concept

Ya ngoyo HIKI NDIO CHENYEWE
ya ngoyo HIKI NDIO CHENYEWE
Ngonga ango ya ngoyo MUDA/wakati ULE HICHI NDIO CHENYEWE
ya ngoyo HICHI NDIO CHENYEWE
Ngonga ango ya ngoyo WAKATI ULE HICHI NDIO CHENYEWE
ya ngoyo HICHI NDIO CHENYEWE
tango ya ko loba oh ya ngoyo NI MUDA WA KILA MTU KUJIACHIA/kujirusha HICHI NDIO CHENYEWE
Eloko oyo eleki diamant ya ngoyo KITU HICHI KINATHAMANI KULIKO DIAMOND (almas)
E somba ba mituka oh Eloko oyo KITU HICHI KIMENUNUA GARI GARI
E somba ba lopango oh Eloko oyo KITU HICHI KIMENUNU NYUMBA
Poto pé oh pé na Eloko oyo NIMESAFIRI MPAKA ULAYA BADO NAKISHUKURU KITU HCHI
Eloko yango nini eh Miziki KITU CHENYEWE NINI eh MUZIKI
Eloko yango nini eh Miziki KITU CHENYEWE NINI eh MUZIKI
Na lela oh bisso oyo TUNAKIPENDA HICHI KWA HAPA
Ba kolo Mbonda oh bisso oyo NDIO TULIKIANZISHA NA SASA TUPO HAPA
Na lela ooh bisso oyo TUNAKIPENDA HICHI KWA HAPA
Ba kolo Mbonda oh bisso oyo NDIO TULIKIANZISHA NA SASA TUPO HAPA
Lego, Lego oh, lego, lego oh Lego, lego oh (LET'S GO LET'S GO.......)
Le 2 juillet bisso tembé na foire TAREHE 2 JULY TUNASHINDANA KUONYESHA UWEZO
Le 2 juillet bisso tembé na foire
Le 2 juillet bisso tembé na foire
Lego, lego oh, lego, lego oh Lego, lego oh, lego, lelo oh, lego Lelo oh, lego, lelo oh
 
vipi kuhusu ule wa kiname wa fally

Daah huo wimbo umeimbwa kwa kifaransa maneno mengi na siwezi kuandika maneno ya Kifaransa japo mengi nayaelewa maana yake, kuna kipande kidogo alichoimba Fally Ipupa ndio kina Kilingala kidogo

Hum mama yeah (hustler) HUM MAMA YEAH
Hum mama yeah (hustler) HUM MAMA YEAR
Elengui eleki ngai mingi nazo tanga soyi NI NINA FURAHA SANA
Elengui eleki nga mingi nazo ganga kaka oh (epasouka) NINA FURAHA SANA, NAPIGA KELELE (nina haribu)
 
Eleko Oyo ina maaana ya kusema KITU HICHI, Japokuwa kutafairi lugha inategemea na sentesi

So anaposema Kitu hichi alikuwa anamaanisha huu Mziki KWA MIMI NILIVYOELEWA

Eloko oyo eleki diamant ya ngoyo HIKI KITU NI CHA THAMANI KULIKO ALMASI (diamond)
E somba ba mituka oh Eloko oyo HIKI KITU KINANUNUA GARI

E somba ba lopango oh Eloko oyo HIKI KITU KINANUNUA NYUMBA

eloko=Kitu
somba= kununua
Mituka=Motokaa, gari
Lopango=nyumba, plot

Ngoja niusikilize vizuri, ntakuandikia na wimbo wote
Alikuwa akimaanisha kitu gani mkuu.
 
Alikuwa akimaanisha kitu gani mkuu.

Hapo nilikuwa natafsiri neno kwa neno na ndio maana nikasema saa nyingine ni ngumu kuelewa maana ya nyinbo husika, lakini kwa hii ya Fally ni SINGO MAALUM

Unajua kunakuwaga na international fair pale Kinshansa huwa wanaiita FIKIN (KIN ni kifupi cha Kinshasa kama tunavyosema Dar) na kuna kuwa na kitu kama mashindano ya kuimba, sasa mwaka huu itafanyika 2 July na Fally atakuwepo kwenye hiyo FAIR, ndio hapo aliposema
Le 2 juillet biso tembe na foir TAREHE 2 TUTASHINDANA KUONYESHA UWEZO WETU KWENYE FAIR
so Kaitoa hiyo single akijitapa kuwa yeye anaijua hii KITU akimaanisha mziki so hana wasiwasi, kwani Muziki umemuwezesha kununua Gari, Nyumba, Umempeleka Ulaya so hawezi shindwa kwenye hiyo Fair

Ndio maana ya huo wimbo hasa
 
Eleko Oyo ina maaana ya kusema KITU HICHI, Japokuwa kutafairi lugha inategemea na sentesi

So anaposema Kitu hichi alikuwa anamaanisha huu Mziki KWA MIMI NILIVYOELEWA

Eloko oyo eleki diamant ya ngoyo HIKI KITU NI CHA THAMANI KULIKO ALMASI (diamond)
E somba ba mituka oh Eloko oyo HIKI KITU KINANUNUA GARI

E somba ba lopango oh Eloko oyo HIKI KITU KINANUNUA NYUMBA

eloko=Kitu
somba= kununua
Mituka=Motokaa, gari
Lopango=nyumba, plot

Ngoja niusikilize vizuri, ntakuandikia na wimbo wote
Ukimaliza huu niandikie na ule une minute
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom