Songa ampokea kijiti rasmi Darasa

GadoTz

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
350
569
Kama tunavyojua muziki ni kama mbio za kupokezana vijiti.

Muziki wa rap kwa kipindi cha mwaka na ushee umekuwa ni wa Darasa baada ya kuupokea kwa Nay wa Mitego aliyepokea nae kijiti kwa Chidi Benz.

Kwa sasa ni rasmi baada ya ujio mpya wa Darasa na ujio mpya wa Songa, ni kwamba kijiti cha muziki wa rap sasa anakishikilia Songa.

Tegemeeni kumskia sana Songa kwa kipindi hiki mpaka atapotokea tena wa kupokea kijiti.

[HASHTAG]#DoubleTap[/HASHTAG] ya Songa unaweza isikiza hapa chini. Wakati tunaisubiria video yake.

Joh Venture (Official Site): Songa - Double Tap | Mp3 Download [New Song]
 
Songa anatakiwa akaze sana maana kama wapiga debe anao wa kutosha,honestly namchukulia mwepesi sana jamaa pamoja kua amekuta Mcee'z wengi wakali wamepoa ila bado sijawahi kusikia track yake nikasema hii itakaa kwenye chat angalau kwa siku kadhaa vijana siku hizi wanabwata tu,Nah hard feelingz tho'
 
Kama tunavyojua muziki ni kama mbio za kupokezana vijiti.

Muziki wa rap kwa kipindi cha mwaka na ushee umekuwa ni wa Darasa baada ya kuupokea kwa Nay wa Mitego aliyepokea nae kijiti kwa Chidi Benz.

Kwa sasa ni rasmi baada ya ujio mpya wa Darasa na ujio mpya wa Songa, ni kwamba kijiti cha muziki wa rap sasa anakishikilia Songa.

Tegemeeni kumskia sana Songa kwa kipindi hiki mpaka atapotokea tena wa kupokea kijiti.

[HASHTAG]#DoubleTap[/HASHTAG] ya Songa unaweza isikiza hapa chini. Wakati tunaisubiria video yake.

Joh Venture (Official Site): Songa - Double Tap | Mp3 Download [New Song]
tumehangaika na rap tangu kabka hatujaanza kuota nywele sehemu za siri hadi leo mvi zinatunyemelea,ati toka kwa nay!..nay sio rapper,akiwa rapper fid q awe nani!!?
 
Naona tunachanganya yupi rapper na yupi Mc.....anyway mi namskliza Songa yule wa Mathematrix na Niite songa zaid kulko huyu wa Double what what sjui
Ingekuwa vyema kama ukawapa tofauti kati ya Mc na Rapper kwa faida ya wote mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom