Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habari za jioni wakuu kwa wale wapenzi wa tamthilia ya queen of the south leo usiku inaendelea tena hivyo msikose kufuatilia......camila ataweza kumpiku mumewe kwa kumiliki genge kubwa la madawa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
hii movie inaeleza story ya wanawake watatu waliokuwa wakifanya kazi NASA. kipindi hicho ubaguzi wa rangi upo na wanawake hawaaminiki kwenye sayansi.
1 Reactions
17 Replies
5K Views
jana nimecheki muvi moja classic inaitwa SHAWSHANK REDEMPTION ni kali kinomaaaa.humo ndani morgan freeman kama kawaida yake hatarii
1 Reactions
3 Replies
762 Views
Msaada anae jua jinsi yakupiga kura bet awards2017
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nitawezaje kupata bet channel kwenye star times..
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Hbr Wadau Mimi Napenda Rhumba Za Koffi Olomide Taja Artist Wako Tufurahi Kuondoa #stress.
0 Reactions
9 Replies
826 Views
Amefariki leo hii katika hospitali ya Muhimbili DSM alikopelekwa jana kwa ajili ya Matibabu akitokea Newala.(Mtwara) Atakumbukwa sana hasa kwa Wimbo wake “Kila Munu avena kwao” Kila mtu ana kwao.
10 Reactions
103 Replies
34K Views
Hii aibu ya Bongo movie imezidi, naangalia Movie hapa yan mtu kalala na mwanamke kesho yake kaonekana na Mimba ####Aibu tupu
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nasikiliza kituo kimoja cha dini ya kikristo wanapiga nyimbo za Bongo Flavour zenye meseji za Gospel ndani yake.Hakika huyu DJ ni mbunifu sijapata kuona . Baadhi nilizozisikia hadi sasa ni...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Toka muziki wa kizazi kipya ushike chart hapa nchini kumetokea wasanii lukuki waliojitahidi kuonesha uwezo wao!! Chorus nyingi zimeimbwa iwe katika nyimbo za wasanii husika ama zile za...
4 Reactions
76 Replies
19K Views
Moja ya nyimbo ambayo huwa najikuta natokwa na machozi wakati huo huo mwili unataka nitabasamu. Unaweza kiongezea....wasalam
2 Reactions
2 Replies
9K Views
Aisee hii ngoma kali sana. Pongezi kwa Young Dee
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari za weekend Jf Mimi ni mfuatiliaji wa movies hizi The blacklist Into the Badlands Blindspot Sasa zote zimefika season finale, wakati nasubiri next seasons naombeni masaada wa movies...
2 Reactions
51 Replies
7K Views
SIITAJI KURUDI NLIKOTOKA.. Mwandishi: SEID BIN SALIM SEHEMU YA KWANZA Mwaka mmoja ukiwa umepita tokea binti mwenye umri wa miaka 24 lucky ajiunge na chuo kikuu cha dar es salam UNIVERSITY OF DAR...
2 Reactions
21 Replies
9K Views
Naomba kupata picha yake huyu jamaa akiwa nje ya sura ya commedy means maisha halisi haya wajuvi nazisubiria wakati nikimalizia morning glory
0 Reactions
11 Replies
9K Views
KWA Maelezo ya FLORAH BAHATI LYIMO mwenyewe ni Kwamba>>>> Endelea kumsikiliza akitiririka.... Baada ya Mzee Yusuf kuingia Stegini kama saa nane na nusu hivi '' Alianza kuimba Nyimbo zake...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Kama kichwa kinavyojieleza naomba msaada
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Are you a Coldplay fan? What is your favorite song? Mine is 'yellow'.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom