Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mke alimuaga mumewe anaenda kumsalimia mama yake mgonjwa kijijini. Akaondoka Ijumaa na kurudi Jumatatu na matunda kibao na vyakula vingine toka kijijini akisema ni mama kanipa kwa ajili yako mume...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Akihojiwa katika kipindi cha michezo cha Sports Extra kinachorushwa na Clouds fm Victor Wanyama Anayekipiga na timu ya Totenham Hotspots ya uingereza amesema amewahi kucheza michuano ya mitaani ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni movie gani enzi hizo ulikua hutaki kuangalia kwasababu ilikua inakutisha lakini sasa hivi unaona ni upuuzi tu. Mimi binafsi ni ile ya Insyuka yani nilikua nikiiona sitembei pekee yangu gizani...
0 Reactions
109 Replies
13K Views
naomba ni declare kwamba mm ni shabiki lialia wa mwanamziki nguli nchini diamond platinium ..kuanzi mbagala,nenda kamwambie,moyo wangu,nataka kulewa,kitoronto,..nimekuwa die fan wake...ila thatha...
7 Reactions
74 Replies
8K Views
SECOND VIDEO FIRE: Diamond Ft Tiwa Savage...
5 Reactions
81 Replies
17K Views
Wapo watoto ambao hupenda kuiga kila kitu ambacho mzazi anakifanya.Siku izi wapo watoto wana kunywa pombe na wengine kuvuta sigara kwa kuwaiga wazazi. Mfano mzuri yupo Mtoto wa jirani huwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ngoja tuupe muda huu wimbo huenda nikauelewa, ila kwasasa nadhani umeimbwa chini ya kiwango, vilevile producer ameboronga sana kwenye masuala ya beat Yaani Diamond kwasasa hapaswi kumtegemea...
5 Reactions
91 Replies
29K Views
Waungwana kuna mipini nime-attach hapo ya 90's quality yake sio nzuri sana lakini inasikika Kama kuna mtu anazo zenye quality nzuri aweke humu jamvini 1.DPG-Rudi Mpenzi---1999 2.Afro reign ft...
9 Reactions
23 Replies
13K Views
Nyimbo yenyewe nimeona e tv ya kizungu jamaa mtu wa pombe demu wake anaolewa kanisani wanamzuia gari iliyombeba demu wake ikiondoka anaikimbiza
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mada yahusika! Naomba mwenye huo wimbo anisaidie!
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakuu habari za jumapili Mimi ni mpenzi sana wa nyimbo za zamani. Nyimbo zozote zile za zamani kuanzia Kwaya, Blues, Ndombolo, Reggae, Kwaito n.k Nimefanikiwa kupata nyimbo nyingi sana isipokuwa...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu wa burudani natafuta movies mpyaaa za 2017,movies kali kali ambazo ni full hd, ziwe series au hata single zoote naziitaji... (PB season 5 isikosekane)... Nipo dar kwasasa mpaka alhamis...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama unataka kupata ujumbe uliotulia kuhusu Ukombozi wa Afrika na mambo mengine kuhusu afrika basi nakushauri usikilize album ya hawa jamaa inaitwa DISTANT RELATIVES kwa kweli hii album si mchezo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WHY??? - JADAKISS,COMMON,STYLES P & NAS Ukisikiliza album ya " Kiss of the death"ya Jadakiss utakutana na track inaitwa "why" moja ya ngoma iliyozua utata na mvutano mkubwa kati ya Jadakiss na...
8 Reactions
18 Replies
4K Views
Nasir Jones (amezaliwa tar. 14 Septemba 1973) ni mwanamuziki wa rap na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake kisanii kama Nas. Zamani alikuwa akijiita Nasty Nas. Nas...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
HADITHI HII KUTOKA KATIKA KITABU CHA 'TUTARUDI NA ROHO ZETU' KITABU KILICHOANDIKWA NA MTUNZI WA RIWAYA ZA KUSISIMUA ZA UPELEELEZI, BEN R. MTOBWA. BAADA YA KUANDIKA KITABU HIKI BEN R. MTOBWA ALITOA...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Hello wazee wa zilipendwa na muziki wa dansi. Naweza kujua SIKINDE NGOMA YA UKAE watakuwa ukumbi gani siku ya Idd.? Ukiweza nipe ratiba ya bend za muziki wa dansi siku ya Idd Mosi! Mimi ni mnazi...
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Malcom Lumumba Benny
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. mume bwege - bushoke 2. Regina - steve 2k 3. Bizman - ametoroshwa 4. Kikulacho - mr. Nice 5. AY - yule
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom