Wabongo Wapenda Rhumba.

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
939
1,000
Hbr Wadau Mimi Napenda Rhumba Za Koffi Olomide Taja Artist Wako Tufurahi Kuondoa [HASHTAG]#stress[/HASHTAG].
 

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,022
2,000
Madilu Syastem, Ferre Golla, Fallie ayseeeee hapo dereva anaweza endesha Bukoba Mpaka Mtwara nimetulia kwenye kiti bila uchovu.
 

bhachu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
5,985
2,000
Alan kounkou, arlus mabele, Extra musica, Nene tchakou, koffi ChalZ olomideee, pepo la kale, sokous stars ni fujoooooo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom