Fordy the gr8t
Member
- Mar 10, 2017
- 45
- 25
Hii aibu ya Bongo movie imezidi, naangalia Movie hapa yan mtu kalala na mwanamke kesho yake kaonekana na Mimba
####Aibu tupu
####Aibu tupu
HawakuandikaHahaaaa... hawakuandika "baada ya miezi 9" Kwenye movie hicho kinawezekana lakini kwa kuongeza muda. Pole mwenzako ndio nimemaliza kuangalia LOGAN hapa.