Queen of the south inaendelea leo

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,186
9,287
Habari za jioni
wakuu kwa wale wapenzi wa tamthilia ya queen of the south leo usiku inaendelea tena hivyo msikose kufuatilia......camila ataweza kumpiku mumewe kwa kumiliki genge kubwa la madawa ya kulevya?
 

Attachments

  • queen_of_the_south[1].jpg
    queen_of_the_south[1].jpg
    105.9 KB · Views: 48
Asante sana hii series naifatilia mno.i can't wait na Ile nyengine inaitwa power series mpya inaanza mwezi huu
 
Back
Top Bottom