Tanzia: Harila Tongolanga wa Makondeko group musica amefariki

Amefariki leo hii katika hospitali ya Muhimbili DSM alikopelekwa jana kwa ajili ya Matibabu akitokea Newala.(Mtwara) Atakumbukwa sana hasa kwa Wimbo wake “Kila Munu avena kwao” Kila mtu ana kwao.
picha
 
Kila munu avena kwao apanu pachilambo,kwa ababaye na kwa amamaye kwavelekwejije....
Kila munu inannowela,lisiku lyahena kwao,akavakoja valongo vake,umtima wake kunowanga.....
Aaaah! Nakumbuka mbaaaali "soomo"
R.I.P Tongolanga
....aisee tupinge urafiki,lazima utakuwa na sisteri chinga kiuno feni ;
..ye ndo atanimalizia verse zilizobakia!
 
Nda Tongolanga pumzika nilkupenda sana, kila munu ave na kwao kila mmakonde asikiapo wimbo huu taswira na sononeko la nyumbani humjia. Hata mie jambo si mmakonde nisikiapo huu wimbo najisikia sononeko la kukosa nyumbani.
Nilimpenda sana kwa sababu alipenda asili yake na alionekana mstaraabu. Dunia tunapita,asante Halila pumzika kwa amani japo tulikua bado tunakuhita.
 
Back
Top Bottom