Kweli kiongozi, hata video yake iko Onfire...aisee hii ngoma kali sana pongezi kwa young dee
Aisee hii ngoma kali sana. Pongezi kwa Young Dee
hainaga ushemeji ivi hii watu waliipendeA ninKiukweli mi sielewi huu wimbo upo katika genre gani ya muziki naomba kueleweshwa hili.
Na pia kwenye verse alizoimba kila verse ina bars ngapi sio mbaya mkanielewesha na hili pia.
Sjajua chorus ni ipi na pia ina bars ngapi mkinielewesha hili ntashkuru pia.
Na mwisho nikiuskiliza huu wimbo sipati ladha za Young D sana sana namuona Mr.Blue ndani yake katika mipito ya Nakunywa Tilalila, Nalewa Tilalila, Nakunywa Tilalila, Nalewa Tilalila.
Kama unajua muziki na mfatiliaji mzuri wa muziki tuliza skio lako na uskilize tena utaelewa nini nnachomaanisha. Thanks.
kafungie hainaga ushemeji kwanzaNi upuuzi, huwezi kuta mkenya anaimba wimbo kama huu.
Sijui Wale wanaofungia nyimbo ,wanaangalia vigezo gan? Lakini kwa mantiki ya Nationalism spirit huu wimbo ilipaswa ufungiwe day 1.
hainaga ushemeji ivi hii watu waliipendeA nin
ukipata jibu hapa na swali ulilouliza lishapata jibu
Na Hata ukute mleta post ni young Dee mwenyewNi mtoto mdogo, hajawahi kutoka nje ya nchi, hana exposure, hajijui utaifa wake maana yake nini.
Ndio maana anaimba Bongo Bahati Mbaya.
sawa mkuu subir niidownload nimuelewe umenishawishi kidogohapo hajaikana nchi yake hebu msikilize vizur