Msaada: Nisaidieni movies za kuangalia kipindi hichi wakati nasubiri......

T-Bagwell

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
1,174
2,290
Habari za weekend Jf

Mimi ni mfuatiliaji wa movies hizi
The blacklist
Into the Badlands
Blindspot
Sasa zote zimefika season finale, wakati nasubiri next seasons naombeni masaada wa movies nyingine nzuri na zenye maudhui kama hayo za kuangalia kwa kipindi hichi nikiendelea kusubiri muendelezo wa hizo movies zangu tajwa hapo juu.
 
Jumba la dhahabu inarusha tena ...mkuu kama hujawahi iona itafute trust me hutajutia muda wako
 
Habari za weekend Jf

Mimi ni mfuatiliaji wa movies hizi
The blacklist
Into the Badlands
Blindspot
Sasa zote zimefika season finale, wakati nasubiri next seasons naombeni masaada wa movies nyingine nzuri na zenye maudhui kama hayo za kuangalia kwa kipindi hichi nikiendelea kusubiri muendelezo wa hizo movies zangu tajwa hapo juu.

1. Designated survivor
2. Shooter
3.Taken
4.Seal Six
5.Prison Break 5
6.Shield
 
Back
Top Bottom