Tujikumbushe Bongo Flava zenye meseji za Gospel ndani yake

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,779
1,812
Wadau nasikiliza kituo kimoja cha dini ya kikristo wanapiga nyimbo za Bongo Flavour zenye meseji za Gospel ndani yake.Hakika huyu DJ ni mbunifu sijapata kuona .
Baadhi nilizozisikia hadi sasa ni;
-
~MWANAFA -Mfalme
~AY,DULLY SYKES,MWANAFA-Amen
~MAC D-Ee Mungu Wangu
~RADO-Wewe
~KALA JEREMIAH-Dear God
~MWANAFA-Sitoamka
~PROF JAY ft Hard Blasters-Roho Mtakatifu

Nimeamini sasa Bongo Flava imeanza kupenya hadi kwenye Gospel.

Waweza kuongezea nyimbo nyingine apa....ambazo ni ghetto gospel
 
Hahahaha.
Mkuu ingekuwa imepenya ki mipaka ila sio kupenya hadi kwenye gospel.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom