Hollywood ndo wenyewe

miminimkulimaakachekasana

JF-Expert Member
May 29, 2017
3,263
4,718
jana nimecheki muvi moja classic inaitwa SHAWSHANK REDEMPTION ni kali kinomaaaa.humo ndani morgan freeman kama kawaida yake hatarii
imgres
upload_2017-6-9_19-51-31.jpeg
images
images
 
Hiyo movie asee..., si kuna jamaa alianfukiwa na jumba bovu mambo ya accounting, hala freeman ndio kama msimuliaji ws kilichotokea mpaka jamaa anatoroka ila siri ya kubakwa akafa nayo moyoni.... Hatari sana hiyo movie..
 
Back
Top Bottom