JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 475
Naomba kupata picha yake huyu jamaa akiwa nje ya sura ya commedy means maisha halisi haya wajuvi nazisubiria wakati nikimalizia morning glory
Hata mimiRekebisha title yako maana mie nimejua wewe ndio unayo
Naomba kupata picha yake huyu jamaa akiwa nje ya sura ya commedy means maisha halisi haya wajuvi nazisubiria wakati nikimalizia morning glory
Siku ikitokea kaja Tanzinia akishuka tu airport watu vichekoHiyo sura ukishaangalia tu unaanza kucheka..
Duu.huyo mzee SIKUDHANI ya kwmba nje ya comedy yupo hivyo....anaonekana mstaarabu kabisa