Ahaaa sawa mkuu nitaisakaStory imesimuliwa kwa njia ya kuvuta sana. pia critics wameirate juu sana.
Maaana saana bongo haina mvutotutupie mkuu ili tuhamasishe vijana wetu wa kike kupenda Masomo ya sayansi.
Achana na evening classes, kuna ile meeting ambazo walikuwa hawawaruhusu kabisa wanawake kuhudhuria ni wanaume tu. Then, yeye akawa akiandika barua lile li jitu lina mu ignore. Alivyopata chance, acha awakomeshe kawashushia hesabu wenyewe walishangaa. Mpaka jamaa anaenda kwenye chombo ana demand aongee na jane kwanza.Janelle aliua alipoenda kufanya evening classes, kajasiri sana.
Kushiba casting huaga sio big issue sana.mkuu mbona ni moja ya movie za motisha sana! halafu cast yake imeshiba.