Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,551
- 31,775
Toka muziki wa kizazi kipya ushike chart hapa nchini kumetokea wasanii lukuki waliojitahidi kuonesha uwezo wao!!
Chorus nyingi zimeimbwa iwe katika nyimbo za wasanii husika ama zile za kushirikishwa!
Kwangu chorus bora zaid katika bongo flava ni hizi hapa
1. Nampenda-Mike T feat Juma Nature
2. Wanapendana-Mwanafa feat Dully Sykes
3. Sintobadilika-Mike T feat Q chief
4. Wanoknok-Mandojo na Domokaya feat Jay Dee
5. Hawapendi-Jafarai feat Q chief
6. Nimechokwa-Shetta feat Belle 9
7. Mfalme-Mwanafa feat Gnako
8. Alisema-Stamina feat Jux
9. Milele-Godzilla feat Alikiba
10. Kazi yake mola-Madee feat Mandojo na Domokaya