Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Jacqueline Wolper msanii wa bongo movie anawaonea huruma wanaume katika mapenzi Msanii wa bongo movie Jacqueline Wolper awaonea huruma wanaume
0 Reactions
7 Replies
2K Views
anatia hamasa hata usingizi usije ameimudu disc vyema ma dj wanawake wanaweza sana kumbe na anapangilia nyimbo vizuri
1 Reactions
28 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Taja movie unazopenda wengne tuzitafute
1 Reactions
87 Replies
12K Views
Katika maisha yangu nimebahatika kuwa na kampani ya watu wa hulka na tabia tofauti tofauti. Nimepata fursa ya kuhudhuria katika maeneo ya starehe ,sherehe harusi sehemu ambazo inabidi nicheze...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
aliongea Baraka da prince wakati Ben Pal ametoa nyimbo TATU iliyokua mbovu na hata audiance haijaipokea vizuri kabisa kua ni Bora kumshauri rafiki yako msanii asitoe nyimbo kabisa kuliko kumsifia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau mimi siyo mfatiliaji sana wa series, ila nikiwa na muda huwa napenda kuangalia series zinazohusiana na ujasusi pia siasa ndani yake! Mpaka sasa nimeangalia 1. 24 hours 2. Homeland 3...
2 Reactions
42 Replies
9K Views
Ivi kuna watu humu ambao huwa wanacheza game la BOOM BEACH? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Alianza mziki na Hiphop Diamond platnumz alisikika zaidi na track yake ya Jisachi ambayo ilikua nzuri tu,ila ktk harakati za kutafuta pessa zaidi akaishia kubana pua. Platnumz kwenye hii remix ya...
0 Reactions
8 Replies
980 Views
Mkali wa hip hop kutoka Kenya na Afrika Mashariki ameshusha ngoma mpya ambayo imethibitisha kua huyu jamaa ni mkali na hana mpinzani kwa sasa
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Since first hit yake hadi sasa bill nass amekua akitoa nyimbo ambazo ukiwa umechoka na mawazo ukizisikiliza tu basi unajisikia fresh ghafla hii track yake ya sina jambo ni kali sana kama track...
0 Reactions
7 Replies
890 Views
Mambo zenu wakubwa na wadogo. Naomba mwenye kufahamu nitaipataje link ya kuidownload hii series anipatie tafadhari. Nilikuwa najaribu kuipata kupitia youtube inagoma. Nataka kudownload Season 2...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau nauliza kuhusu receiver za dishi kubwa unaweza kutumia kwenye uelekeo wa dish ndogo za Azam na nyinginezo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
yes hebu tukutane hapa kupeana zile nyimbo kali za country baadhi ni kama lady antebellum-need you now Sam hunt-take your time Keith urban-blue ain't your colour bila kusahau collections za...
0 Reactions
2 Replies
821 Views
Elias Banyenza ndio jina alilopewa na wazazi wake, lakini unafahamika na wengi kwa jina la Banye. Anapenda kuimba na RnB ndio muziki ana unaoupenda zaidi. Banye alianza kuimba akiwa Sunday...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
On my personal view B.I.G alikuwa mkali sana kwenye flows and lyrically kuanzia punchlines, similies, metaphors, multis etc, Ukisikiliza nyimbo yake kama ya big poppa utajua nchomaanisha, But...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Kutokana na ugeni wangu katika tahasusi ya kupakua nyimbo naomba mnisaidie njia rahisi ya kupata album(diwani) ya Jay Z inayoitwa 4:44...... Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Ukisoma vizur historia za makocha wa epl haswa wale wakubwa wote 1. Mourinho ana mke wake mzur na watoto wake wa3 wale na juz juz tu kapata mjukuu 2. Benitez ana mke wake na amedumu nae kwa zaid...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wanaopenda movie za ubabiloni wataungana na mimi katika hili, hakuna kama Texas Chain saw. Wewe unaikubali ipi?
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Rasta anasema: "I went to a party the other night, They said it's gonna be right there. But when we were at the party I was dis appointed. All we could hear was their crackadoo, All...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tizama kwa sekunde 20 alichokifnya camera man huyu..utoe sterss nauchovu wa siku. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Back
Top Bottom