Hivi humu ndani kuna watu wanao tazama jumong?
Ni tamthilia nzuri mno ya kikorea, na inahusu siasa zaidi kuliko kingine. Natamani wana jf wote wawe wanatama jumong, ina fundisha vitu vingi sana...
Wakuu nauliza kama una series na uko mwanza naomba aje pm ili tuone namna ya kubadilishana for free ntakufata popote ulipo ili mradi usiwe mke wa mtu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]...
Dah bonge moja la nyimbo, sometime hili beef la watu wawili (kiba na mondi) linatuharibia gemu watangazaji na radio nao wamekuwa mashabiki, mpaka nyimbo kama hizi zinakosa airtime
Naomba msaada kama kuna mtu yupo "ARUSHA MJINI" na ana complete POWER season 4" full HD format, naitafuta.
Pia kama ana series zingine ambazo zipo on trend kwa sasa.
Nakumbuka kipindi cha nyuma Kenya walikua wakituongoza kimuziki katika ukanda wa East Africa.Kwa bahati nzuri baada ya revolution kufanywa na vijana wa Bongo Fleva Tz tumefanikiwa kuongoza East...
Je, ni kutaka kuonekana kwamba wanaujua mziki tangu 80's au wanadhani wateja ndo tunazopenda?
Nyimbo mpya ni nyingi sana hata ukizipiga masaa 24 haziishi...
Nipo hapa Maisha Club makumbusho...
Mwenye uelewa anielekeze jaman mm nataman kutambua advantage ya push up [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau,
Katika tasnia ya muziki Africa ni vigumu kutoitaja Congo. Nimepata kuishi kambi za wakimbizi wa kikongo na huko nilishuhudia namna muziki ulivyo damuni. Kuna kanisa moja la asili wakati wa...
Kuna movie moja hivi inaitwa Apocalypto,.. Hii movie, ni moja Kati ya movie ambayo hainichoshi kuiangalia tena na tena... Huyu jamaa Star wa hii movie nimemkubali saaana, ananishawishi niendelee...
habari zenu ndugu zangu
samahani naomba kuuliza kwa wale wataalamu wa kupakia(upload) nyimbo mtandaon
kua nime pakia nyimbo yangu ktk hizi free sites kama vile audiomack/bandcamp nk
lakini...
.
.
Na SANGUJOSEPH
.
.
Kuna KITU MASHABIKI Na wapenzi wa MUZIKI tunapaswa tukifahamu SANA katika muziki WETU SHABIKI Au Team za wasanii now days Zina nafasi kubwa ya kuifanya nYimbo ya kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.