msanii ninaye hitaji management...!

msanii ninaye hitaji management...!

Nyoxhimself

New Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
2
Reaction score
0
habari humu ndani wapendwa. mimi ni msanii wa bongo fleva ( sijajulikana bado)nafanya R&B,Hip hop (commercial) na aina nyingine. natafuta management ili niweze kutoa kazi zangu nilizo nazo na ntakazo endelea kufanya. hivo basi kama kuna yeyote atakua interested na mm anipe mawasiliano nimtafute....hatojuta kufanya kazi na mm. Ni hayo tuu. Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom