Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,410
- 39,486
Habarini wadau,
Hivi kuna mtangazaji gani unayemfahamu (wa zamani au wa sasa) aliye mkali katika habari ya vionjo mbalimbali vya music anayemzidi Masoud Masoud?
Kidogo anafuatiwa na Charles Hillary, hasa akitangaza miziki ya charanga. Halafu finally kuna Ras mmoja huwa ni judge naye si haba yule.
Ila Masoud Masoud naona ni habari nyingine. Hawa watangazaji wa sikuhizi wengi wana mihemko na mawenge flani hivi.