Kumbe Seduce me ilikuwa na utamu wa Big G!

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Nyimbo iliyopigiwa promo ya kufa mtu ya mwanamziki Ally Kiba kumbe ilikuwa na utamu wa Big G!

Ndani ya wiki moja imechuja na sasa truck kutoka wasafi record inayoitwa Zilipendwa imepanda chati kwa kasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
70d0df958a9ee00184d5d25ecf08daf7.jpg
 
Nyimbo iliyopigiwa promo ya kufa mtu ya mwanamziki Ally Kiba kumbe ilikuwa na utamu wa Big G!

Ndani ya wiki moja imechuja na sasa truck kutoka wasafi record inayoitwa Zilipendwa imepanda chati kwa kasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisema mim,hakuna nyimbo mbaya yule jamaa amewai toa kama ile,nahis alitumia majin kuipromote
 
4.6M views and counting hee heee heeeee mnajuta kumdhihaki Kiba na kumlazimisha atoe wimbo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom