MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,039
Keep on sharing braza. Saku hizi namsikiliza Lana del Rey🙂🙂
hahaha, nothing bro na siko suicidal🙂. Kuna siku ulimzungumzia, nikamcheki, nimekuwa fan wake.😀😀😀😀😀
What happened man????
Hahahahaha!
hahaha, nothing bro na siko suicidal🙂. Kuna siku ulimzungumzia, nikamcheki, nimekuwa fan wake.
Noma sana. Summertime sadness.Lana ni hatari sanaaa!
Mzee wa "Born to die" yuko njema sana yule mwanamke!
Noma sana. Summertime sadness.
Sijaisikia hiyo. Nilisikia rmx waliimba within temptation. Naipata wapi hiyo?Hasahasa ile Remix yake ye EDM ndiyo ina balaa sana!
Sijaisikia hiyo. Nilisikia rmx waliimba within temptation. Naipata wapi hiyo?