Good Music [Beka Flavor-Libebe]

mizarb

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,402
1,285
Moja ya nyimbo nzuri kwa mwaka huu ni pamoja na ya huyu kijana. Kwangu mimi, huyu ni moja ya vile vipaji halisi katika tasnia ya burudani...
Ngoma yake mpya ya Libebe kamalizaa
Pitia youtube kuburudika zaidi.
 
Attachments

  • libebe-video-beka-640x360.jpg
    libebe-video-beka-640x360.jpg
    17.1 KB · Views: 113
Aslay na beka wamedhihirsha kua walkua wanajua, ngoja tuwasubiri wale madogo wengine, ila ka jimbo kazuri sana kwangu mimi aslay anasubiri japo kidogooo mwanamke kamuangusha haendani na hadhi ya ngoma.. mwenye wimbo atupie kuepuka usumbufu wa kurud yutyubu tena kuitafuta
 
Ni kweli, kwenye hiyo ngoma video queen anaonekana mgeni kwenye hiyo kada
 
Hii nyimbo nilikuwa naitafutaaaaa.ahsante mkuu.maana juzi nililala nikaishia nikiwa usingizini.maana redio ilikuwa ON.niliposhtuka nataka kuirekodi ikawa imeisha niliumia sana.na niliipenda sanaa.ngoja nikaitafute
 
Huyu jamaa hapati sifa anayostahili ila ni wazi kabisa pasipo shaka yeye ndo alikuwa anaibeba Yamoto band!
Huu wimbo leo ndo nausililiza kwa ukaribu na nimeupenda sana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom